Ukerewe kule kuna mhenga mmoja nae nahisi katia nia maana ht awamu iliyopita alitia nia ila alichinjiwa baharini.
Mkuu mambo niaje majukumu yamebana sana plus mwaka wa uchaguzi nimetia nia Jimbo la ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ubingwa baada ya miaka 30 lazima nipite hapa