Anaitwa Jonathan kutoka marekani amefungua mashtaka ya ajabu sana.
*Amemfungulia kesi mama yake kwa kutokumlea vizuri alipokuwa mtoto, akalipwa Million 50.
*akawafungulia mashtaka rafiki zake wote wanaomtania sana na wale waliomuahidi na hawajatimiza.
*akawafungulia mashtaka jirani zake ,shule aliposoma ,mchumba wake ,na maraisi wa nchi na hata polisi.
*akafungua kesi kuishtaki Game ya GTA kwa sababu imempumbaza sana.
*Akafungua kesi kwa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa kumrusha bila ya ruhusa yake.
*mpaka sasa idadi ya kesi zake ni 2600 .
Jonathan amepata fidia ya Tsh Million 192 kwa mashtaka yake yote kwa kulipwa na washtakiwa wake.
Alipokutana na Mwandishi wa habari Jonathan akumuuliza
Jonathan:kwanini naishi mpweke watu wananitenga?
Mwandishi akacheka kwa maneno ya jonathan,jonathan akamfungulia mshtaka pia.