Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kijana Bernardo amenyoa kipara kichwani mwake ili afanye matangazo na amefanikiwa katika hilo. Kwa siku analipwa Tsh 70,000 na anazunguka kwa masaa sita barabarani ,sokoni ili tangazo lake lionekane zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…