Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka una siku 365.25 kwa maana kwamba mzunguko wa dunia unamalizika January 1 saa 6:00 mchana kwa sababu ya ile 25 pale ndio uondoke huo mwaka na kuja mwaka mwengine ,sasa sijajua kwanini tunasheherekea mwaka mpya December 31 saa 6:00 usiku.
 
Kama ukinywa chupa nyingi za maji kwa siku hautakuwa na mda wa kufatilia mambo ya watu utakuwa uko bize na kukojoa. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Anaitwa Jonathan kutoka marekani amefungua mashtaka ya ajabu sana.

*Amemfungulia kesi mama yake kwa kutokumlea vizuri alipokuwa mtoto, akalipwa Million 50.
*akawafungulia mashtaka rafiki zake wote wanaomtania sana na wale waliomuahidi na hawajatimiza.
*akawafungulia mashtaka jirani zake ,shule aliposoma ,mchumba wake ,na maraisi wa nchi na hata polisi.
*akafungua kesi kuishtaki Game ya GTA kwa sababu imempumbaza sana.
*Akafungua kesi kwa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa kumrusha bila ya ruhusa yake.
*mpaka sasa idadi ya kesi zake ni 2600 .
Jonathan amepata fidia ya Tsh Million 192 kwa mashtaka yake yote kwa kulipwa na washtakiwa wake.
Alipokutana na Mwandishi wa habari Jonathan akumuuliza
Jonathan:kwanini naishi mpweke watu wananitenga?
Mwandishi akacheka kwa maneno ya jonathan,jonathan akamfungulia mshtaka pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…