Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaitwa Denise Coutes ndiye mwanamke mwenye mshahara mkubwa zaidi dunia ,analipwa Tsh Billion 340.Mwanamama huyu ni afisa mkuu wa kampuni ya kamari ya Bet 365.

Na hela zake zote hizo bado ni mke wa mtu na anamheshimu mumewe ,sijui kuhusu dada zangu wa hapa TZ wangefanya nini?
 
Viongozi wa Afrika waliobadilisha ukomo wa Urais:

1😛aul Kagame (Rwanda)
2:Yoweri Museveni (Uganda)
3:Alpha Conde (Guinea. Bado haijapitishwa)
4😛ierre Nkurunziza (Burundi)
5😛aul Biya (Cameroon)
6:ldriss Deby (Chad)
7:Azali Assoumani (Comoros)
8😀enis Sassou Nguesso (Congo)
9:lsmail Omar Guelleh (Djibouti)
10:Alassane Ouattara (lvory Coast)
 
Kuna makundi mawili ,moja linaamini kwamba binadamu washawahi kwenda mwezini na lapili haliamini hicho kitu je wewe kwa mtazamo wako kuna binadamu ambaye kashawahi kwenda mwezini,pia kumbuka ni zaidi ya miaka 50 iliyopita teknolojia ilikuwa ndogo sana .Upi mtazamo wako?
 
Back
Top Bottom