Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio kila unachokiona ni ukweli unachokiona hapa sio chipsi yai ,ni vipande vya tunda aina ya peasi na hicho kiini cha yai ni kipande cha tunda Apple na ngano.
IMG_20200627_233547.jpg
 
Je Sayansi itaweza hili? Ndio swali nilojiuliza kichwani , Alcor ni shirika linalojihusisha na kufufua watu lipo Arizon, kwa sasa unalipa Tsh million 470 kisha mwili wako unahifadhiwa katika majakofu, ili itakapo gundulika teknolojia ya kuwafanya wafu kuwa hai na wewe ufanyiwe, unaweza kujiandikisha kabla ujafa na ukifa wanakuja kuchukua mwili wako hadi sasa ni watu 1230 wamejiandikisha na maiti 200 zimehifadhiwa.
 
USIFIKE SEHEMU HIZI SABA NI HATARI KWA MAISHA YAKO

.Kwa fikra za kawaida tunadhani ya kwamba sehemu zinazolindwa zaidi duniani ni Benki, Ikulu, kambi za jeshi na Bungeni labda kwa sababu ya kuwepo viongozi wakubwa wa taifa au hela zinazopatikana katika Benk hizo Mapya ya dunia tu nakuletea sehemu saba hatari kwa maisha yako kama ukiwa huna uhusika wa sehemu hiyo.
 
BENKI YA FEDERAL RESERVE

Hii ni Benki iliyopo katika jiji la New York, Marekani ambayo inatumika kuhifadhi zaidi ya 25% ya dhahabu zote duniani. Benki hii ni moja kati ya sehemu zenye ulinzi mkali zaidi duniani ikiwa imejengwa kwa urefu wa futi hamsini kutoka usawa wa Bahari na inalindwa na zaidi ya wanajeshi 5,000.
 
JUMBA LA GREENBRIER

Jumba hili linapatikana katika mji wa Virginia , Marekani ambapo unaambiwa linatumika kuhifadhi vifaa vya nyuklia vya Marekani. Unaambiwa katika jumba hili ndipo viongozi wa juu wa serikali na kijeshi hufanyia mkutano na kuamua wapi watashambulia.
 
Back
Top Bottom