Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584295987360.jpg
 
Mkulima mmoja kutoka China aling'atwa na nyoka katika kidole chake, akaamua kukikata kidole ili sumu isisambae mwilini na kuwahi hospitalini ili apate matibabu.Alivyofika hospitalini Daktari akamwambia kwamba sumu za nyoka wote zina dawa kama ukiwa umewahi matibabu na nyoka huyu aliyekung'ata alikuwa hana sumu.
[emoji24]
 
Anaitwa Denise Coutes ndiye mwanamke mwenye mshahara mkubwa zaidi dunia ,analipwa Tsh Billion 340.Mwanamama huyu ni afisa mkuu wa kampuni ya kamari ya Bet 365.

Na hela zake zote hizo bado ni mke wa mtu na anamheshimu mumewe ,sijui kuhusu dada zangu wa hapa TZ wangefanya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom