*Kamati siku ya SIMBA kupewa kombe*
Vinywaji-Azam
Ulinzi-Polisi Tz na JKT
Mziki-Coastal union
Kuni-Mbao fc
Mchele-Mbeya City
Mafuta ya kula-Singida Utd
Mawasiliano-Ruvu Shooting
Mapokezi-KMC
Mbwa wa ulinzi-Lipuli
Kwaya na ngonjera-Alliance
Usafiri-Stand utd
Ngoma za asili-Gwambina fc
Korosho za kutafuna-Ndanda na Namungo
Kupiga deki kuosha vyombo -Yanga ssc.
*NB*
Kila mmoja ashughulike na nafasi yake kikamilifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.