Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MPAKA WA KOREA KUSINI NA KOREA KASKAZINI
Huu ni mpaka ambao unazitenganisha nchi mbili mahasimu duniani. Ni moja kati ya sehemu ambazo zinalindwa zaidi duniani ambapo kuna zaidi ya wanajeshi 2,000 ambao hufanya doria. Ni vigumu kwa mtu kufika kwenye mpaka huu kwa sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha yako.