mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
K vant upewiSaudi Arabia katika chumba cha mtihani unapewa Maji, chocolate, pipi, chai na vitu vyengine vya kutafuna.
DuAnaitwa Denise Coutes ndiye mwanamke mwenye mshahara mkubwa zaidi dunia ,analipwa Tsh Billion 340.Mwanamama huyu ni afisa mkuu wa kampuni ya kamari ya Bet 365.
Na hela zake zote hizo bado ni mke wa mtu na anamheshimu mumewe ,sijui kuhusu dada zangu wa hapa TZ wangefanya nini?
Hahahaha na jumong hupewiK vant upewi
NamtupiaMzee wa liver endelea kutupia picha hizo zo Accient Egypt
Ila kwenye hao miungu sijamuona Seth mdogo wake Ra.