Tatizo hilo la hesabu la Conway lilipendekezwa na mwanahesabati wa Uingereza John Horton Conway 1970, lakini bi Piccirillo alilisikia kwa mara ya kwanza katika warsha moja mwaka 2018
Kazi ya Bi Piccirillo ilichapishwa mapema mwaka huu na jarida la hesabati la Annals Mathematics na tangu alipotatua hesabu hiyo amefanywa kuwa naibu profesa katika taasisi ya teknolojia ya Massachusetts MIT.
Fumbo hilo la Conyway lilikuwa halijatatuliwa kwa muda mrefu na wanahesabati wengi werevu walijaribu kulifumbua lakini wakashindwa, kulingana na Javiwe Aramayona, mtafiti katika chuo kikuu cha Madrid na mwanachama wa taasisi ya hesabati ya Uhispania ICMAT.
Topology ni muhimu katika sekta nyingi za sayansi na imetumika na wanasayansi kutafiti tabia za vitu katika masoko tofauti na maumbile ya molekyuli za jeni.
'Kwa maana nyengine ni kwamba, tunaangazia jinsi tunavyoweza kuikunja kamba hiyo'', kuivuta na kuikamua. Kile ambacho hatuwezi kukifanya ni kuikata kamba hiyo. Hilo linakatazwa''.
Topology ni muhimu katika sekta nyingi za sayansi na imetumika na wanasayansi kutafiti tabia za vitu katika masoko tofauti na maumbile ya molekyuli za jeni.
Msomi huyo ambaye ni mzaliwa wa eneo la Liverpool ni mtaalam wa muda mrefu, mwenye ushawishi wa hisabati na ambaye alifanya kazi katika vyuo vikuu vya kifahari kama vile Cambridge na Princeton.
Msomi huyo ambaye ni mzaliwa wa eneo la Liverpool ni mtaalam wa muda mrefu, mwenye ushawishi wa hisabati na ambaye alifanya kazi katika vyuo vikuu vya kifahari kama vile Cambridge na Princeton.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.