mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Alielezewa kama "Archimedes, Mick Jagger, Salvador Dalí na Richard Feynman wakikusanywa na kuwa mtu mmoja.''
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Kamati siku ya SIMBA kupewa kombe*
Vinywaji-Azam
Ulinzi-Polisi Tz na JKT
Mziki-Coastal union
Kuni-Mbao fc
Mchele-Mbeya City
Mafuta ya kula-Singida Utd
Mawasiliano-Ruvu Shooting
Mapokezi-KMC
Mbwa wa ulinzi-Lipuli
Kwaya na ngonjera-Alliance
Usafiri-Stand utd
Ngoma za asili-Gwambina fc
Korosho za kutafuna-Ndanda na Namungo
Kupiga deki kuosha vyombo -Yanga ssc.
*NB*
Kila mmoja ashughulike na nafasi yake kikamilifu.