Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TANZIA - Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

84208740_3386479738042524_8748737081813366363_n.jpg
 
Vennie anasema kuwa alianza kufanya maombi ya kila siku -huku akimshirikisha dada yake pamoja na wanawake wengine kama njia ya kujiokoa kutoka kile anachokitaja kama mtego wa shetani.

Kwa siku hizo anasema kuwa alikiri kwa maneno kuziasi njia za kukubali kufanya mapenzi na pepo pamoja na hali hii ya kujichua .
 
kwa kweli kwa sasa anasema kuwa kwa muda sasa hali hii haijajirudia tena. Hali kadhalika ameacha uraibu aliokuwa nao wa kujichua .

Vennie anahusika sana kwa sasa na kuzungumzia wazi tabia hii ambayo anasema kuwa imo kwenye jamii lakini haizungumziwi wazi wazi kwani watu wanapuuza tu kama ndoto.
 
Inawezekana kufanya mapenzi na pepo?

Hili ni jambo embalo limezua mijadala na dini mbalimbali hata katika fani za wasomi , Wanasaikolojia na viongozi wa kidini wanatofautiana kuhusu hili.

Saikolojia inahoji kuwa tabia hii hutokana na mawazo ya mtu yalivyo, ikiwa mtu atawazia hali ya kufanya mapenzi na ngono kila wakati basi huenda mawazo aliyokuwa nayo yakamuingilia kwenye ndoto zake.
 
Back
Top Bottom