Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kulingana Mchungaji T Mwangi ambae anahusika sana na kutoa motisha , ana uzoefu wa kuzungumzia hatua za kubadilisha tabia na ujenzi wa maadili na pia mzungumzaji dhidi ya tabia zinazohusu uraibu wa ngono na kadhalika anasema kuwa jamii ambazo zinaenzi tabia ya ushirikina, uchawi na kadhalika hufungua milango kwa nguvu za giza au kishetani kuingilia maisha yao na kutawala kila sekta ya maisha. Hii ni pale mtu anapotafuta pengine kujaaliwa fedha Zaidi au anapotafuta njia za mkato za kutafuta penzi .
 
Aidha Bwana T anasema kuwa watu wanaokuwa na tabia za uraibu kama wa kujichua , ngono na unywaji wa pombe au madawa ya kulevya kupindukia , huwa wameanza tu kama mzaha lakini tabia hii inakuwa ya kila siku . Hatimaye wanajipata hawawezi kutoka katika mtego wa tabia hizi . Mchungaji T anahoji kuwa maombi yana nguvu juu ya tabia na mishiko ya aina hii , ila bidii kutoka kwa mtu aliyetekwa ya kutaka kuachana na tabia hizo lazima iwepo .
 
Hapa kuna tatizo moja la mteule wangu mmoja DAS Kisarawe ana mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi, zipo tuhuma kuwa anachukua mpaka Wake za Watu, nilishamuonya siku za nyuma nafikiri hakuonyeka, kuanzia leo natengua kazi yake atafutiwe kazi ya chini na asifanye hapa”- Ameyasema Hayo Raisi Magufuli, JPM
 
Meli ya MV Victoria ambayo sasa inatambulika kama New MV Victoria (baada ya kukarabatiwa), leo imefanya safari yake ya majaribio kutoka Mwanza kwenda Bukoba. Ukarabati huo umegharimu TZS 23B. Baada ya safari hiyo kukamilika, meli itaanza kutoa huduma ndani ya siku 14.
 
"Mkuu wa Wilaya wa hapa jokatemwegelo amefanya kazi nzuri katika kuondoa zero....Ninachowashangaa Wazaramu watani zangu hajaolewa lakini mmeshindwa kumuoa. Mnamuangalia tu. Ndio shida ya Wazaramu saa zingine mnashindwa mambo..." Rais Dkt John Pombe Magufuli. . Ina maana Waswhili wenzetu wa Kisarawe wamekwama kabisa? .
 
Hapa kuna tatizo moja la mteule wangu mmoja DAS Kisarawe ana mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi, zipo tuhuma kuwa anachukua mpaka Wake za Watu, nilishamuonya siku za nyuma nafikiri hakuonyeka, kuanzia leo natengua kazi yake atafutiwe kazi ya chini na asifanye hapa”- Ameyasema Hayo Raisi Magufuli, JPM
Rais anafuatilia mpka michepuko yetu twafa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Mkuu wa Wilaya wa hapa jokatemwegelo amefanya kazi nzuri katika kuondoa zero....Ninachowashangaa Wazaramu watani zangu hajaolewa lakini mmeshindwa kumuoa. Mnamuangalia tu. Ndio shida ya Wazaramu saa zingine mnashindwa mambo..." Rais Dkt John Pombe Magufuli. . Ina maana Waswhili wenzetu wa Kisarawe wamekwama kabisa? .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG-20200628-WA0010.jpg
 
Hapa kuna tatizo moja la mteule wangu mmoja DAS Kisarawe ana mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi, zipo tuhuma kuwa anachukua mpaka Wake za Watu, nilishamuonya siku za nyuma nafikiri hakuonyeka, kuanzia leo natengua kazi yake atafutiwe kazi ya chini na asifanye hapa”- Ameyasema Hayo Raisi Magufuli, JPM
Mwampamba alitaka kula mali za wakubwa nini?
 
Serikali imetumia TZS Bil.121,98 kupeleka umeme kwenye Vijiji 223 katika Mkoa wa Pwani lakini kuna baadhi ya maeneo zimewekwa nguzo tu umeme haujafika, natoa agizo kwa viongozi kushughulikia hili.’ - Rais MagufuliJP
Mfumo wa upigaji upo na utauacha. Vurugu za mtu mmoja haziwezi kufua dafu.
 
Back
Top Bottom