mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Rais anafuatilia mpka michepuko yetu twafa[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa kuna tatizo moja la mteule wangu mmoja DAS Kisarawe ana mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi, zipo tuhuma kuwa anachukua mpaka Wake za Watu, nilishamuonya siku za nyuma nafikiri hakuonyeka, kuanzia leo natengua kazi yake atafutiwe kazi ya chini na asifanye hapa”- Ameyasema Hayo Raisi Magufuli, JPM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Mkuu wa Wilaya wa hapa jokatemwegelo amefanya kazi nzuri katika kuondoa zero....Ninachowashangaa Wazaramu watani zangu hajaolewa lakini mmeshindwa kumuoa. Mnamuangalia tu. Ndio shida ya Wazaramu saa zingine mnashindwa mambo..." Rais Dkt John Pombe Magufuli. . Ina maana Waswhili wenzetu wa Kisarawe wamekwama kabisa? .
Mwampamba alitaka kula mali za wakubwa nini?Hapa kuna tatizo moja la mteule wangu mmoja DAS Kisarawe ana mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi, zipo tuhuma kuwa anachukua mpaka Wake za Watu, nilishamuonya siku za nyuma nafikiri hakuonyeka, kuanzia leo natengua kazi yake atafutiwe kazi ya chini na asifanye hapa”- Ameyasema Hayo Raisi Magufuli, JPM
Unayo mingapi kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]Rais anafuatilia mpka michepuko yetu twafa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mfumo wa upigaji upo na utauacha. Vurugu za mtu mmoja haziwezi kufua dafu.Serikali imetumia TZS Bil.121,98 kupeleka umeme kwenye Vijiji 223 katika Mkoa wa Pwani lakini kuna baadhi ya maeneo zimewekwa nguzo tu umeme haujafika, natoa agizo kwa viongozi kushughulikia hili.’ - Rais MagufuliJP
Wanasema alichombeza dc wa huko alipokuaMwampamba alitaka kula mali za wakubwa nini?