Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400020000625_196142.jpg
 
Shule moja ya sekondari huko kusini mwa
China imeingia matatani baada ya kuanzisha
programu ya kuwafuatilia wanafunzi kwa
kuwavika kifaa maalumu ambacho pamoja
na mambo mengine kitakuwa kinaripoti ni
mara ngapi mwanafunzi amenyoosha
mkono darasani.
Kifaa mfano wa bangili kinahusishwa na
kufuatilia mwenendo, mapigo ya moyo,
shughuli anazofanya mwanafunzi na hata
mahudhurio yake huku mfumo huo
ukikosolewa vikali kwa kuingilia faragha za
mwanafunzi kwa kwamba hauna tofauti na
ule wa wafungwa
 
KIPOFU ANAYEONA!!
jina lake ni DANIEL alipatwa na saratani ambayo ilimpelekea kukosa nguvu ya macho na kuwa kipofu kabisa, lakini unajua vipi alikuwa anaona? alikuwa ana uwezo wa kufanya kila kitu kama mtu aliyekuwa Mzima wa macho lakini ni kwa kuchezesha ulimi wake kwa kutoa Sauti kama anafyonza kitu, alikuwa na uwezo wa kucheza basketball na kufanga kabisa ndani goli🏀, na pia alikua ana uwezo wa kuendesha baskel barabarani bila ya kumgonga mtu
 
anasifika Natasha kwa sifa ya kipekee katika macho yake X-RAY, na yeye amezaliwa katika nchi ya RUSSIA 🇷🇺 (URUSI) mwaka 1986,akiwa na miaka kumi akawa na uwezo wa kuona vitu vilivyokuwa ndani ya mwili wa mama yake, na alimshangaza daktari pindi alipomwambia kama una uvimbe ndani ya mwili wako, wakati daktari huyo alikuwa hajijui kama Ana tatizo hilo.
 
A little boy kills a butterfly. Dad says, "No butter for one week!" The little boy kills a honeybee. Dad says, "No honey for one week!"[emoji36]

Mom kills a cockroach. The little boy turns to his dad and says, "Are you gonna tell her or should i do it[emoji2986]?"[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom