Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9ebf0b16-3465-442e-bb18-5077594524a0.jpg
 
mara ya mwisho muheshimiwa Davet kuandika comment humu ndani ilikuwa ni May 9
Any news kuhusiana na huyu jamaa asiyejua kuchukia?

The Happiness tusaidie tafadhali, I hope huenda unafahamu chochote
Asante sana Mwenyekiti wa chama cha wala Urojo,pole sana, sina taarifa za uhakika kuhusu mheshimiwa Davet....naimani ni mzima wa afya huko alipo!


Nawasilisha hoja
 
Back
Top Bottom