Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kampuni ya HUAY inayo tengeza saa za kisasa kama Smart Watch,imetangaza toleo lake jipya la saa ambayo ina hita kwa ajili ya kuwasaidia wavuta sigara kuwasha sigara zao pindi wakiwa kwenye sehemu pasipo na moto ama ukosefu wa kiberit.