Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Autodidacts ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu kuwa na elimu bila kwenda shule au kuingia darasani Wengine walienda kusomea vingine wakagundua wanapenda vitu ambavyo shule havipo wakaamua kuvibuni na kufikili leo ndio wamejaa kwenye makaratasi ya wasomi wetu wa leo nawaletea watu 10 wenye uwezo huo na ni maarufu duniani.
 
Sir Isaac Newton.(Mwanafizikia na mwanahesabu nguli)Mtoto wa mkulima, tofauti nawengine Kidogo huyu alienda shulelakini alikuwa anasoma vitu vingine(philosophy)sio vile vilivyompaumaarufu. Upenzi wa hesabu aliupataalipojinunulia kitabu cha hesabu katikamaonyesho. Newtons laws of motion,Formula nyingi za hesabu, uvumbuzimwingi wa kisayansi tunaousomakutoka kwa huyu jamaa alijifundishana kubuni mwenyewe sio darasani. Leowatu wanakuwa maprofesor, wataalamkwa kusoma vitu hivi.
 
Malcom X.Huyu alijifundisha mwenyewe Philos-ophy, sociology na Genetics. Akiwagerezani aliweza kuikopi dictionary yotekwa muda wa miaka saba na kuwa borakwa misamiati iliyomfanya awe mwan-dishi na mzungunzaji bora. Baadaealikuja kuwa mpiganiaji maarufu wahaki za binadamu na watu weusi.
 
Abraham Lincoln.Rais wa marekani mwenye heshimaya hali ya juu na Genius aliyeongozataifa hilo bila uzoefu wa kutosha wauongozi. Akiwa mtoto akizuiwa na babayake mambo ya shule,kuna kipindialikuwa anasafiri umbali mrefu kwendakuazima kitabu ili ajisomee hukohukoshambani. Bila huyu marekani leoingekuwa vipande vipande, wazunguwengine walimchukia kwa kuteteawatu weusi. Alitokea kijijini. Hakuwawhkwenda shule lakini alijifundishamwenyewe sheria miaka mitatu. Huwezikudefine neno Democracy bila kutoa kilealichokisema yeye.
 
Mhh!

Siyo kweli [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Abraham Lincoln.Rais wa marekani mwenye heshimaya hali ya juu na Genius aliyeongozataifa hilo bila uzoefu wa kutosha wauongozi. Akiwa mtoto akizuiwa na babayake mambo ya shule,kuna kipindialikuwa anasafiri umbali mrefu kwendakuazima kitabu ili ajisomee hukohukoshambani. Bila huyu marekani leoingekuwa vipande vipande, wazunguwengine walimchukia kwa kuteteawatu weusi. Alitokea kijijini. Hakuwawhkwenda shule lakini alijifundishamwenyewe sheria miaka mitatu. Huwezikudefine neno Democracy bila kutoa kilealichokisema yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…