Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KARL MARX.(Philosopher, economist, sociologist,journalist andrevolutionary socialist)mjerumani mwenye asili ya uyahudi.Maisha yake mengi aliishi maktabamoja pale england akijisomea nakuandika concepts. Watu walikujakumuelewa baada ya kifo chake. Leosio tu watu tunajifunza aliyoandika,mchango wake uliigawa dunia katikaitikadi mbili (ujamaa na ubepari).
 
KONSTANTIN TSIOLKOVSKYunapozungumzia Sayansi ya watukenda mwezini. Huyu mrusi ndiombabe na moja ya waanzilishi. Aliachashule kwa kuwa alikuwa hasikii vizurina wazazi kufariki. Katika kujisomeaakajikuta amependa physics na hesabu.Muda wake mwingi aliutumia maktabakujisomea. Pamoja na kudhalaulikaduniani ukweli ni kwamba maandikoyake zaidi ya 400 yalileta mapinduzimakubwa katika sayansi ya kurusharocket ulaya na Marekani.
 
7.LEONARDO DA VINCI.(Invention, painting, sculpting,architecture, science, music,mathematics, engineering, literature,anatomy, geology,astronomy, botany, writing, history, andcartography)Huyu ni kipaji maalumu, lakini vyotealijiendeleza mwenyewe. Alikuwa nauwezo wa kuchora mkono wa kushotowakati huohuo mkono mwingineanaandika. Alikuwa anajua karibu kilakitu yaani super genius.
 
DAVID BEN GURION.Huyu ndio baba wa taifa na muanzilishiwa israel ya sasa. Akiwa na umri wamiaka 18, aliachana na mambo yashule akaanza kujisomea mwenyewephilosophy na kujifunza kigiliki kwalugha asilia ili aweze kusoma vitu vingikatika uhalisia sio viivyotafsiriwa. Ndiealiyeanzisha mifumo yote ya israel yasasa, ikiwepo vikosi hatari kabisa vyakijeshi. Alikuwa haamini uwepo waMungu.
 
10.NIKOLA TESLA.Huwezi kuzungumzia mapinduzi yasayansi bila kumtaja huyu mdau. Anamkono wake katika karibu kila kitu chatechnologia, vitu ambavyo walisemahaviwezekani leo vinawezekana.Kwenye engine za ndege, telecom,IT, Magari, Rocket,Vifaa vya kijeshi,Umeme wa Maji etc. Aliamua kuachashule na kutengeneza workshop yakena kuanza kuvumbua vitu lukuki. Vitualivyokuwa anafanya alisababishawatu wamuite mwanasayansi kichaa.Ni baba wa AC ELectricity, alikufaakiwa na ndoto ya kutaka kuusafirishaumeme kwenye anga ili dunia nzimaumeme uwe bure. Katika majaribioyeke aliwahi kusababisha tetemeko laardhi mji mzima. Leo japan na marekaniwanafanya research kama wanawezakutransmit electrical signals from US toJapan kwa kutumia Anga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…