moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Simba oyee
Kama kweli vile, pole lakini. 😂😂Hahaha leo nina huzuni nyumba imepwaya,wajukuu wameenda shule
Hahahah kweliiii aahahaKama kweli vile, pole lakini. 😂😂
Hata mimi Nina huzuni hapa, nyumba imepwaya, Vitukuu vimeenda skuli! 😂 😂 😂Hahahah kweliiii aahaha
Hata mimi Nina huzuni hapa, nyumba imepwaya, Vitukuu vimeenda skuli! 😂 😂 😂
Ooh, shauri yako. 😂Kweendaaa hahaha
My favor NBA player Lakers nayo ni timu yangu
HahahaSimba oyeee View attachment 1491475
Simba oyeee View attachment 1491475
Leo mwaka wenu. Mkigeuka huku Klopp na lile tabasamu lake utafikiri beberu la mbuzi limenusa mkojo wa mbuzi jike; huku nako Simba anaunguruma. Furaha tupu yaani...