Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400018700331_196514.jpg
 
lockdown bado inaendelea huko kwa trump?
mbona sizisikii tena takwimu za corona
Tena ndiyo inapamba moto katika majimbo zaidi ya 18; na watu bado wanakufa. Sema baada ya quarantine vijana wengi (below 40) ndiyo wanaambukizwa sana kwa sababu hawa ndiyo wanapenda mikusanyiko huko kwenye mabaa, night clubs, fukweni na kwingineko. Kwa vile ni vijana basi hata wakiipata haina makali sana kama ilivyokuwa kwa wazee hapo mwanzoni.

Trump sawa tu na JPM. Anasema kupima pima sana na kutangaza idadi ya wagonjwa kunamfanya aonekane vibaya mbele ya wapiga kura na ni fake news zinazolenga kumchafua ili ashindwe uchaguzi Novemba. Kwa hivyo ni kama vile Korona inapuuzwa tu japo bado ipo tena sana tu...
 
Tena ndiyo inapamba moto katika majimbo zaidi ya 18; na watu bado wanakufa. Sema baada ya quarantine vijana wengi (below 40) ndiyo wanaambukizwa sana kwa sababu hawa ndiyo wanapenda mikusanyiko huko kwenye mabaa, night clubs, fukweni na kwingineko. Kwa vile ni vijana basi hata wakiipata haina makali sana kama ilivyokuwa kwa wazee hapo mwanzoni.

Trump sawa tu na JPM. Anasema kupima pima sana na kutangaza idadi ya wagonjwa kunamfanya aonekane vibaya mbele ya wapiga kura na ni fake news zinazolenga kumchafua ili ashindwe uchaguzi Novemba. Kwa hivyo ni kama vile Korona inapuuzwa tu japo ipo...
Like father like son
 
Leo mwaka wenu. Mkigeuka huku Klopp na lile tabasamu lake utafikiri beberu la mbuzi limenusa mkojo wa mbuzi jike; huku nako Simba anaunguruma. Furaha tupu yaani...

Sisi wa Yanga na Aseno ngoja tukae kimya tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] Yanga na Arsenal mtateseka sana mwaka huu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom