Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haha, Nini kimefanya nimepata mwaliko huo wa ghafla..?
Sababu wamekufatilia muda mrefu sana, ila wakaniambia hivi "Japo tahadhari ni muhimu, ila mgeni tena muungwana hakaribishwi akaishia mlangoni au kibarazani,bali ni vizuri afunguliwe mlango, na kukirimiwa kwa maji kisha aseme alicho tumwa". Hili ni ombi toka kwa wakubwa zangu.
 
Kweli wakubwa zako wako na busara nyingi sana, nimependa.!

Karibu uketi, kisha upate chochote kitu toka kwa mwenyeji wako.
 
Ahsante mwenyeji, hakika nikirudi kwa wakubwa zangu, lazima wataniuliza "Je uliingia mpaka ndani ?". Mimi sababu ni mkweli tena muaminifu siwezi kufanya khiyana nitawajibu "Hakika mwenyeji wangu msimamo wake ni ule ule, hataki niingie ndani, ila amenikirimu sana lakini tukiwa nje".
 
😂😂😂😂😂 Tafadhali usiwafikishie hizo habari,watachukia sana.
 
Back
Top Bottom