Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wiki ya furaha.


Shangwe zinaendelea..
FB_IMG_1593366099092.jpg
 
Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Hapo Nyuma Ni Jeneza La Mama Wa Bwana Harusi, Harusi Hii Imefungwa Jana Kigamboni, Mama Huyu Alifariki Siku Ya Sendoff Ya Mkwe Wake. Wanandoa Wakaamua Kuunganisha Ibada Ya Ndoa Na Ibada Ya Mazishi On The Sameday, Je Wewe 'Ujasiri' Huu Unao?
84037937_264016088239615_3115623824813668672_n.jpg
 
Naomba nikuambie Rais wangu mimi nitaendelea kuwa mtiiifu kwako na hasa nikijua wazi uliamua tu kuniteua nikusaidie kazi, mimi sio lolote si chochote, mimi ni Mtoto wa fundi seremala tu na mimi mwenyewe pia ni fundi seremala”-Waziri Jafo mbele ya JPM Kisarawe
 
Back
Top Bottom