Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Hapo Nyuma Ni Jeneza La Mama Wa Bwana Harusi, Harusi Hii Imefungwa Jana Kigamboni, Mama Huyu Alifariki Siku Ya Sendoff Ya Mkwe Wake. Wanandoa Wakaamua Kuunganisha Ibada Ya Ndoa Na Ibada Ya Mazishi On The Sameday, Je Wewe 'Ujasiri' Huu Unao?View attachment 1491908
Kifo/Msiba pia ni sherehe.
 
Usimbe ni shughuli...😅
images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom