Hakika, ngoja nisubiri kidogo....😂😂😂😂😂 Tafadhali usiwafikishie hizo habari,watachukia sana.
Hakika, ngoja nisubiri kidogo....😂😂😂😂😂 Tafadhali usiwafikishie hizo habari,watachukia sana.
Mwenye kusubiri atapata kitu chema....Usku mwema mkuu.Hakika, ngoja nisubiri kidogo....
Na wewe pia.Mwenye kusubiri atapata kitu chema....Usku mwema mkuu.
Umekubali mwaliko wao?Nimepokea mwaliko kwa bashasha tele....Wape shukrani zangu....Naelewa mjumbe hauwawi😀
U hali gani lakini?
😂😂Mabaharia bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1491608
moudgulf, kamtembelee huyu halafu ulete mrejesho jirani. Najua hii ni mitaa yako. Maendeleo hayana u-Liverpool wala Simba Sports. 😁😁Kkoo mtaa wa agrey na likoma karibu Sana dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]