Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiki kiatu kikali. Kinazidi hata vile vinavyouzwa na King Davet dah!mdomo mrefu kama chupa, kazi umbeya tuu
una yako kibao yanayokuhusu
tarararararariraaaaaaaaaaa
kuna mguu, kiguu, guuu, chiguuu, kimguu, liguuuuuuu
View attachment 1491583
hata sielewi bei yake...nimeona post mitaa ya twitterHiki kiatu kikali. Kinazidi hata vile vinavyouzwa na King Davet dah!
Bei gani hiki aisee?
Halafu manguo yote hayo na joto hili la Dar mhh....
Kiatu kikali sana aisee. Nipo tayari kuuza ng'ombe aisee ili nikinunuehata sielewi bei yake...nimeona post mitaa ya twitter
Najua bongo uko Simba huko kwingine sijui [emoji23][emoji23][emoji23]Leo mwaka wenu. Mkigeuka huku Klopp na lile tabasamu lake utafikiri beberu la mbuzi limenusa mkojo wa mbuzi jike; huku nako Simba anaunguruma. Furaha tupu yaani...
Sisi wa Yanga na Aseno ngoja tukae kimya tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
mimi nimependa huo mguu mrefu wa jamaa...... ananikumbusha mbali sanaKiatu kikali sana aisee. Nipo tayari kuuza ng'ombe aisee ili nikinunue
Mi siendi. Atakwenda na mamake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 1491468
Mi nashabikiaga timu zinazoshindwa. Kuna raha yake ambayo wengi hamuijui. Hapa home kwa sasa ni Yanga na huko majuu ni Aseno [emoji16][emoji16][emoji16]Najua bongo uko Simba huko kwingine sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umebadilisha I'dmimi nimependa huo mguu mrefu wa jamaa...... ananikumbusha mbali sana
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mi nashabikiaga timu zinazoshindwa. Kuna raha yake ambayo wengi hamuijui. Hapa home kwa sasa ni Yanga na huko majuu ni Aseno [emoji16][emoji16][emoji16]