Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahaha aisee...unapenda ukubwa binti mpoleNinge marahabaaaa
Ukubwa raha sanaHahaha aisee...unapenda ukubwa binti mpole
Hatujambo tulikumiss piaHeshima yenu ndugu zangu... Hope hamjambo?
Mimi sijambo, naendelea vyema kabsa
Niliwakumbuka sana ndugu zangu..
Hahah haya bwana... Haujambo wewe na uwapendao?Ukubwa raha sana
Wewe ukapoteaHeshima yenu ndugu zangu... Hope hamjambo?
Mimi sijambo, naendelea vyema kabsa
Niliwakumbuka sana ndugu zangu..
Likely ni kule Urojo Republic [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Duh!!! Wapi hiyo..
Nataka nivute mzigo ndani ila anazingua balaa. Bado hajatulia kabisa yaani ni vituko mtindo mmoja. Najaribu kupiga chini ila fenesi likikumbuka utamu wa bofulo umuko lenye joto joto telezi inabidi nirudishe majeshi. Na nikijifanya kuzira ndo naletewa bofulo hata wiki nzima nicheze nalo tu nipendavyo..halafu tena vituko vinaanza upya. Inachosha !!!Shemeji,hii picha nadhani ni kiwakilishi cha mtu/kitu/jambo muhimu sana katika safari yako ya maisha. Mungu atende kwa wakati
The most overrated freedom fighter in the world...
Ha ha ha bro... Umenichekesha sana, nilikuwa sijakusoma hapo mwanzo[emoji16]Wewe ukapotea
Halafu immediately Depal naye mahudhurio yakaanza kusuasua sana.
***************************
King akapotea
Halafu TH naye akadorora
Mpendwa Hawachi ndo mazimaa mpaka leo
*********************
Cole Williams akapotea
Halafu Carbamazepine naye akapotea...
Kulikuwa na maswali na nadharia nyingi sana kuhusu kupotea kwenu. Labda ndoa za mikeka mnakula hanemuni. Au mmeamua kuponda raha zenu kwa utulivu.
Yote kwa yote tulikuwa tunawaombea uzima kwa sababu mengineyo yote ni madogo. Karibu tena bro na natumaini kila kitu kiko salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Anasimamia misingi ya ki- atheist bila shaka. Kwamba Kama Mungu Ana upendo na uwezo wote kwa nini Anaruhusu majanga kama vimbunga na ma Korona haya? Ukiwapa maelezo ya Kibiblia Atheists huwa hawaamini kwa sababu hayafuati misingi yao ya mantiki. Naona mwamba ndo akaamua kwenda mahakamani [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani bado namtafakari huyu senata View attachment 1493415
Ha ha ha bro... Umenichekesha sana, nilikuwa sijakusoma hapo mwanzo[emoji16]
Kumbe matukio umeyapanga kwa aya yaana maana kubwa sana[emoji16][emoji16]
Mambo yaliingiliano Bro, nikaona nimalize kwanza ili maisa mengine yaendelee, Mwisho wa siku mambo yameenda vyema kabsa[emoji120][emoji120]
Depal, naye kuna vitu viliingiliana...sisi ni kama mapacha vile[emoji16]
Ndugu zangu wengine hapo juu, hope watarudi pia baada ya majukumu yao kuisha, Tuwaombee tu
Sijambo mzee mwenzake, za siku tele?The Happiness... haujambo mrembo?