moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salaam za jioni
Jamaniii!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali [emoji1][emoji1][emoji1]
Ukikuta hivyo kwako utafanya nini?Hivi ndivyo nitakuta kwangu
Huko kona ya bwiru ee
Kujitolea bila ya utaratibu wowote wakati mfukoni mtu huna hata gwala inawezekanaje ?"Kuna mtu yuko na cheti mwaka wa nne amekaa nacho tu, lakini hata kusema aende akajitolee kwenye shule zenye uhitaji anashindwa, anasubiri kuajiriwa tutajuaje uzalendo wako sasa" -Dkt Avemaria Semakafu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu.
View attachment 1493332
Sana asee, urafiki wa hawa watu ni pasua kichwa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]shikiria humo humo shemeji usiache akaenda utakuja juta baadae. Kwa uzee wetu huu tunahitaji watu kama hao sitaki nataka, fenesi huwa linainuka haraka sana ukivikumbuka vituko vyake na kama ana konokono chepechepe... weee kitu hichooo[emoji1][emoji1]Nataka nivute mzigo ndani ila anazingua balaa. Bado hajatulia kabisa yaani ni vituko mtindo mmoja. Najaribu kupiga chini ila fenesi likikumbuka utamu wa bofulo umuko lenye joto joto telezi inabidi nirudishe majeshi. Na nikijifanya kuzira ndo naletewa bofulo hata wiki nzima nicheze nalo tu nipendavyo..halafu tena vituko vinaanza upya. Inachosha !!!
Kuna viongozi wana dharau sanaKujitolea bila ya utaratibu wowote wakati mfukoni mtu huna hata gwala inawezekanaje ?
Nmeelewa bro [emoji16][emoji16][emoji16]Unafikiri nimehangaika kuweka hivyo vinyota nyota bure? [emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu tena bro. Siye wakongwe tupo tupo sana hapa tunalisongesha japo kuna wakati kunadorora balaa.
Salama TH, za siku nyingi? Kwema pande hizo?Sijambo mzee mwenzake, za siku tele?
[emoji16]Afadhali [emoji1][emoji1][emoji1]
Mzima Anko?
Ndio Esta... Ntaenda wapi sasa,ulishatoka Buligi?Huko kona ya bwiru ee