moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Masihara haya TH... Kweli wewe wa kuniuliza haya? [emoji16]Kwema sana,huku usalama upoo... Kwahiyo yule mzee amesema atarudi lini?[emoji38]
Asante sana mkuu[emoji23][emoji23]Wakulima wooote poleni
Mwanampotevu, habari za siku bro.Heshima yenu ndugu zangu... Hope hamjambo?
Mimi sijambo, naendelea vyema kabsa
Niliwakumbuka sana ndugu zangu..
Salama Bro,,naona broMwanampotevu, habari za siku bro.
Habari kubwa hapa ni SIMBA na Liverpool.
Safi sanaAsante sana mkuu[emoji23][emoji23]View attachment 1493600
[emoji106][emoji106]
Wanaleta dharau kwenye mambo ya msingi.Kuna viongozi wana dharau sana
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Salama bro?
Hongereni kwa ubingwa!!
Ee zamaani saivi nipo kwa boss laizer kutafuta madini[emoji23][emoji23]Ndio Esta... Ntaenda wapi sasa,ulishatoka Buligi?
una wengi wamejitolea. Mwisho wa siku wamegeuka wapika chai wafuta meza na kila kazi ndogo ndogo bila malipo kwa muda mrefuKujitolea bila ya utaratibu wowote wakati mfukoni mtu huna hata gwala inawezekanaje ?