moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ankoo nmecheka sana hyo sentensi ya mwisho[emoji16][emoji16][emoji16] dah
Ati Uzalendo.una wengi wamejitolea. Mwisho wa siku wamegeuka wapika chai wafuta meza na kila kazi ndogo ndogo bila malipo kwa muda mrefu
wewe mzee acha kulalamika, nenda ukajitolee kwenye taasisi za kiserikali ili tupate kusonga mbele kiuzalendo na uwajibikaji......usisubiri kuwajibishwa kwa ajili ya nchi yako.Ati Uzalendo.
Huyu mama sidhani kama aliwahi kupitia majaribu ya kujitolea
If only some Tanzanian mofos could have such a heartMalawian Lawyer, Mordecai Msiska has turned down an offer to be the new Minister of Justice in President Lazarus Chakwera's cabinet. He said it would seem like it's a reward for helping new President Chakwera win the court case that canceled rigged elections won by his opponent.
https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1277981759162986496/photo/1
View attachment 1493699
Huyu siyo Kaguta kweli huyu au macho yangu yananidanganya? [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakipata madaraka wanajisahau. Kwanza anapaswa kustaafu shwaini zake [emoji51][emoji51][emoji51]Ati Uzalendo.
Huyu mama sidhani kama aliwahi kupitia majaribu ya kujitolea
Bring back Mzee Wengaaa [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]Himaya iliyoangukaView attachment 1493578
Mi nimeshajitolea sana, inatosha sasawewe mzee acha kulalamika, nenda ukajitolee kwenye taasisi za kiserikali ili tupate kusonga mbele kiuzalendo na uwajibikaji......usisubiri kuwajibishwa kwa ajili ya nchi yako.
-==================
myoyambendi yuko wapi leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakipata madaraka wanajisahau. Kwanza anapaswa kustaafu shwaini zake [emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi simo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Huyu siyo Kaguta kweli huyu au macho yangu yananidanganya? [emoji16][emoji16][emoji16]