Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Malawian Lawyer, Mordecai Msiska has turned down an offer to be the new Minister of Justice in President Lazarus Chakwera's cabinet. He said it would seem like it's a reward for helping new President Chakwera win the court case that canceled rigged elections won by his opponent.
https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1277981759162986496/photo/1
View attachment 1493699
Hapa kwetu "nabu supuke" aliikwapua haraka sana offer baada ya kushinda kesi ya "mita za nusu kipenyo 200"
Aheshimiwe kwa taaluma yake mwanasheria msomi.
 
Galileo Galilei, Mwanasayansi nguli kutoka Italia aliamini kuwa Dunia ndio inazunguka Jua na sio Jua kuizunguka Dunia kama ilivyokuwa inaaminika. Kutokana na hilo alifungwa gerezani kifungo cha maisha sababu alikuwa anatofautiana na msimamo wa kanisa (Roma).
 
Kumdhihaki/Kumkejeli mtu hupelekea homoni ya Dopamine' kutolewa zaidi na kumpa mtu utulivu zaidi. Ni nadra kumkuta mtu ana mkejeli mtu mwingine ambae anaona kamzidi ngazi fulani ya mafanikio katika maisha yake.

Credit: Kunal Shah
Hata kama mtu ananizidi ngazi ya umbea siwezi kumkejeli?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom