Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke ana DNA za wanaume wote aliofanya nao tendo la ndoa, DNA hizo zinapatikana zaidi katika ubongo wake. Kila anapofanya mapenzi manii ya mwanaume hukaa mwilini mwake na kuwa sehemu ya mwili wake milele, Hiyo ndio sababu wana ndoa wengi huanza kufanana wakiishi pamoja muda mrefu.Chanzo: University Of Seattle
 
Paka aliyefahamika kwa jina la Scarlett, mwaka 1996 moto ulizuka katika eneo ambalo alikuwa anaishi pamoja na watoto wake 5, Licha ya moto kuwa mkali na kumuunguza sehemu kubwa ya mwili wake, aliweza kuwahamisha watoto wake wote salama kutoka jengo moja kwenda lingine akikatiza kwenye moto mara 5. Scarlett alifariki mwaka 2008.
 
Tanzania: Kutokuwa na nywila (Password) katika simu yako, Ni kosa ambalo adhabu yake yaweza kuwa faini zaidi ya Tsh milioni 2, kifungo cha miezi 12 jela au vyote kwa pamoja. Hii ni kwa mujibu wa kanuni za maudhui ya mitandao mwaka 2018.
 
Usiku wa kuamkia juzi Kanye West aliachia rasmi bidhaa yake mpya ya viatu aina ya Adidas Yeezy Foam Runner. Baada ya dakika kadhaa kuwekwa mtandaoni viatu hivyo vilimalizika (Nunuliwa) na sasa inasubiriwa taarifa ya mzigo wa pili, Vinauzwa Tsh 173,550/=.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] nimeipenda hio style
Usicheke Anko, najihisi kudhurumiwa kwa mujibu wa utafiti.
Ahsante kwa huu utafiti, nitaanza kuzitafuna ndizi kachumbari na mchicha kwa kasi ya ajabu kuvuruga mipaka [emoji1][emoji1][emoji1]
 
FB_IMG_1593366033780.jpg
 
Tanzania: Kutokuwa na nywila (Password) katika simu yako, Ni kosa ambalo adhabu yake yaweza kuwa faini zaidi ya Tsh milioni 2, kifungo cha miezi 12 jela au vyote kwa pamoja. Hii ni kwa mujibu wa kanuni za maudhui ya mitandao mwaka 2018.
Nimsikie Inlaw, ananiuliza kwanini nimeweka nywila kwenye tekno yangu!! hiiiiii
 
Saikolojia: Mwanaume anapotaka kuachana na wewe huanza kulaumu kwa kila kitu, pia huanza kukutafutia makosa madogo madogo. Mwanamke anapotaka kuachana na wewe, Huamua kukaa kimya na kukuacha ufanye mambo unavyopenda wewe bila kukulalamikia.
 
Back
Top Bottom