Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kongthong ni kijiji kinachopatika nchini India, Wao majina ya watu hayatokani na mpangilio wa irabu na silabi bali kila mwanakijiji hupewa jina kwa ala ya sauti fulani mfano inaweza kuwa sauti ya ndege n.k
 
Mashabiki mbalimbali wa muigizaji wa zamani wa Filamu za ngono, Mia Khalifa wameanzisha kampeni kwaajili ya kulazimisha mitandao ya ngono kuondoa video zake sababu mojawapo inayotajwa ni unyonyaji aliofanyiwa muigizaji huyo na makampuni hayo ya ngono. Mia' amekuwa akilalamika mara kwa mara kusumbuliwa na msongo wa mawazo kutoka kazi yake hiyo ya zamani ambayo aliifanya akiwa na miaka 21 huku akisema amekuwa akijisikia aibu kutokana na watu wengi kumshangaa na kumsema vibaya, Kwa sasa ana miaka 27.
 
Back
Top Bottom