Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kujitolea bila ya utaratibu wowote wakati mfukoni mtu huna hata gwala inawezekanaje ?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]shikiria humo humo shemeji usiache akaenda utakuja juta baadae. Kwa uzee wetu huu tunahitaji watu kama hao sitaki nataka, fenesi huwa linainuka haraka sana ukivikumbuka vituko vyake na kama ana konokono chepechepe... weee kitu hichooo[emoji1][emoji1]
 
Unafikiri nimehangaika kuweka hivyo vinyota nyota bure? [emoji16][emoji16][emoji16]

Karibu tena bro. Siye wakongwe tupo tupo sana hapa tunalisongesha japo kuna wakati kunadorora balaa.
Nmeelewa bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Asante sana bro,tupo pamoja tena kulisongesha jahazi letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…