Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakupenda lakini kama rafiki ndio hii.
IMG_20200629_202940.jpg
 
ni ndoto ya kila binadamu kuishi maisha marefu na yenye afya, kimsingi hakuna binadamu angependa kuishi maisha mafupi na yenye afya mbovu lakini kulingana na asili ya dunia yetu kuna changamoto nyingi sana za magonjwa na ajali ambazo zimepunguza urefu wa maisha wa binadamu wengi.vipo vyanzo vya vichache vifo ambavyo kimsingi haviepukiki lakini vyanzo vingi vinaweza kuepukika na kuongeza urefu wa maisha yako hapa duniani. yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia ili kuishi maisha marefu.
 
acha ulevi; unywaji wa pombe kupita kiasi una madhara makubwa kwa binadamu. madhara ya kifedha yaani kufilisika na na madhara ya kiafya. pombe ina haribu maini kwa kiasi kikubwa sana na baadae heleta kansa ya ini ambayo imeua vijana wengi wadogo.kama unapenda pombe basi kunywa kiasi kidogo na nyakati maalumu na haitakudhuru. lakini pia wasichana wengi wamejikuta wakifanya ngono mpaka na watu ambao hawakuwategemea sababu ya ulevi
 
acha ngono zembe; tabia ya kufanya ngono na wanawake tofauti bila kinga haitakufikisha mbali, ukimwi umeua vijana wengi sana na sio rahisi kujua kwani hua ni siri ya familia siku ya mazishi na kama huwezi kutumia kondom basi tafuta mpenzi mmoja muaminifu na utulie naye.utafiti unaonyesha wanawake wmeathirika sana na ukimwi, pamoja na sababu zingine za kitaalamu lakini hofu yao ya mimba ni kubwa sana kuliko ukimwi.
 
Back
Top Bottom