Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Endelea kuwepo ankoNiendelee kuwepo?
Amun RaMungu atupe afya na uzima
Unafukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niaje mzee wa Masaki [emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi we msukuma unalazimisha shikamoo unataka kuninyima nini?Marahabaaaaaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Cc andjulFenesi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1494714
Ila haya mambo...Kituuuuuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1494713
HahahaMakovu ya kipigo cha kufumaniwa yakipona tu unalianzisha tena [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1494717
🙆♂️🙆♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Endelea kuwepo anko
Mgongo unaniuma hapa. Chumba chako kilikuwa kimechafuka sana. Sasa hivi namalizia kusafisha friji tu. Ukirudi utakikuta safii kinang'araaaaHivi we msukuma unalazimisha shikamoo unataka kuninyima nini?
Funguo nilimuonyesha sehemu ya kuchukua kwani hata alienda?Kabla sijaitikia ulimpa funguo Ngosha ze Don kwenda kufanya usafi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilifikiri haupo nikajiwahi. Ngoja niendelee na kusafisha chumba chake [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani ingekuwa hivi yani, siku nikifika huwa nataka nileee mpaka saa nne ila na vumbi sasa unajikuta mwenyewe unaamia mapemaMgongo unaniuma hapa. Chumba chako kilikuwa kimechafuka sana. Sasa hivi namalizia kusafisha friji tu. Ukirudi utakikuta safii kinang'araaaa
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulisema "utaua mtu" Cole akawa mpole mtoto wa watu
Hilo dude ni nembo yetu humu. Kuna chenza, konokono, parachichi, uji, pipi,...Cc andjul
nyamnyamGuu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1494719