Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mlugaluga hana sera huyu, mvuvi tu huyu; shombo la samaki limemjaa mwili mzima. 😅 😅Wee mlugaluga acha uoga malizia sera zako [emoji1][emoji1]
Mlugaluga hana sera huyu, mvuvi tu huyu; shombo la samaki limemjaa mwili mzima. 😅 😅Wee mlugaluga acha uoga malizia sera zako [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cole aliimba mapambio na parabozi zote mpaka akahamia kwenye rap za akina Tupaki na Eminemu wapi jamaa amekaza tu. Mpaka bro wangu mpole yule akagivapu...Nyie acheni tu...
Mane lavusi mi ende Ai tachi niu mane everedei ende masaki peninsula izi mai homu japo kwa sasa nimehamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi ni hawa wahuni wa Papua New Guinea walikuwa wananivunja mbavu sana...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kibwagizo najisikiaga raha sana kukisoma
Mimi uvunguni kwangu atakuta mijusi tuNgosha asiende? Hivi unamjua au unamsikia,anapenda kuchungulia vya uvunguniiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu kila kitu nimeweka kipya. It will be a big surprise. Mvunguni sijapagusa utakuja tukorokochoe wote....[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi uvunguni kwangu atakuta mijusi tu
Halafu wee jamaa ugumu wako ni wa hasara ujue [emoji1][emoji1][emoji1]Mlugaluga hana sera huyu, mvuvi tu huyu; shombo la samaki limemjaa mwili mzima. [emoji28] [emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi uvunguni huwa sisafishi nasafisha panapoonekana tuKaribu kila kitu nimeweka kipya. It will be a big surprise. Mvunguni sijapagusa utakuja tukorokochoe wote....[emoji16][emoji16][emoji16]
Utopolo mpo
Hakuna mgumu hapo. Akija Carba hapa ndo utaona kila rangi za kinyonga [emoji16][emoji16][emoji16]Halafu wee jamaa ugumu wako ni wa hasara ujue [emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani mimi ningekuwa mgumu kama halafu mbebezi zinanizunguka kibahati bahati kama hivi... Aiseee... Ningekuwa mgumu kinyama [emoji1][emoji1][emoji1]
Kama husafishi uvunguni kuna siku utakuta na wageni kama hawa...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji16][emoji16][emoji16] mimi uvunguni huwa sisafishi nasafisha panapoonekana tu
Hasa hako kababu ka upande wa kulia kwako na viguu vyakeMi ni hawa wahuni wa Papua New Guinea walikuwa wananivunja mbavu sana...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1494739