Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
We msukuma jiheshimu bwana
Halafu wee jamaa ugumu wako ni wa hasara ujue [emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani mimi ningekuwa mgumu kama halafu mbebezi zinanizunguka kibahati bahati kama hivi... Aiseee... Ningekuwa mgumu kinyama [emoji1][emoji1][emoji1]
Kama husafishi uvunguni kuna siku utakuta na wageni kama hawa...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1494749
Na hili jamaa la kunesanesa.Hasa hako kababu ka upande wa kulia kwako na viguu vyake
Ng'waguku ilumbulyane. Ulimhola? Ushemeji na bana balimhola? Wabeja bageshiKaka eminza, habari ja kowako.
Mimi uvunguni kwangu atakuta mijusi tu
Anko hii ya uvunguni kuifanya kwa kushirikiana ikatae kwa moyo mkunjufu kabisa. Nakusisitiza kwa dhati kabisa.Karibu kila kitu nimeweka kipya. It will be a big surprise. Mvunguni sijapagusa utakuja tukorokochoe wote....[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nawaza uuchinga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] mimi uvunguni huwa sisafishi nasafisha panapoonekana tu
Wapi nimevunja heshima? [emoji16][emoji16][emoji16]We msukuma jiheshimu bwana
Nisamehe Anko [emoji120][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Unajitoa ufahamu eeh? Basi sawaWapi nimevunja heshima?
Ni hiyo picha ya night club jamaa anachukua bia yake huku binti akikata mauno?
Sawa ankoNisamehe Anko [emoji120]
Nimeifuta,futa na wewe basi
Marahaba. Niliona sehemu Andaeitini anakushawishi uniache aingiemo yeye, umesha mkubalia kimoyomoyo?We dingilai, shikamoo.
Nakucheck tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Likely injini iko on [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1494736
Hatarii hiyoKama husafishi uvunguni kuna siku utakuta na wageni kama hawa...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1494749