mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Practice makes perfect...
But nobody is perfect (in anything)...
Now you are trapped [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wadada wa Buza ktk harakati zao, [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1494889
Kwiooh kwema? [emoji23][emoji23]Nikome hio kwio?? [emoji13][emoji13]
No, my Dear.... That's not what I meant. Mwanzo niliandika "if its Over then Leave, stop watering a Dead flower"
Wewe ukajibu "Easier Said than Done" na mie ndo nikakujibu "Practise makes Perfect" Yaani no matter how hard it may seem as long as you keep on Practising you will eventually be an Expert on it. Dont give up, Penye nia pana njia....
My Point was Kutoforce mahusiano ambayo yashaisha na sikumaanisha Human Perfection [emoji6][emoji6][emoji6]
Halafu ukajibuje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilivyo litupia hilo akanifuata chemba kuniuliza kama kuna lolote nilijualo.
Asante, tutaenda huko huko tukachukue mwali wetu
Tumepokea salaam kwa sauti toka milimaniNawasabahi.
"Sauti kutoka milimani"
Kumbe hunijui. Nilikuwa nakuchokoza tu. Katika uzi huu tumezoea matani sana. Nothing serious...
Karibu tuendelee kucheka [emoji16][emoji16][emoji16]