“Kuzungumzia kuhusu Kapombe ni mapema kwa sasa labda kesho tutajua zaidi.”- Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck akizungumzia jeraha ambalo amelipata Shomari Kapombe kwenye mchezo wa leo dhidi ya Azam FC. #ASFC #NguvuMoja
Gwajima Umetangaza nia Kugombea Ubunge Kawe kwa tiketi ya CCM, Ukiwa kama Mtumishi wa Mungu Usitegemee Kuiba Kura, Ukijaribu kuiba Kura, Moto wa Mungu utakushukia na Kukusambaratisha Vibaya sana,
Rich people believe “I create my life”. Poor people believe “Life happens to me believe in Yourself
There’s no limit to what you can do
Failure is not the opposite of success
But a part of success
Kiwango cha Simba leo kimetupeleka Uchumi wa kati. Tukiwabutua "Kandambili" tunaingia uchumi wa kwanza. Na sisi tunakua "dona kantri" Yani baada ya USA, ni sisi afu wengine wanafuata. [emoji1787][emoji1787] #SimbaImara #NguvuMoja Malisa