Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Liverpool trying to explain what really happened
Moud keshaenda kulala mapemaaaaa akajipoozea soka la bongo. City mbayaaaa55555 Yani leo nachekelea tu aunt...mzee wa liver pata kahawa kidogo [emoji23]
😂😂😂😂 kama namuona kesho, atakavyokuja kutuwekea majoka 🏃♀️🏃♀️Moud keshaenda kulala mapemaaaaa akajipoozea soka la bongo. City mbayaaaa
The Happiness, bado upo kundini? 😅55555 Yani leo nachekelea tu aunt...mzee wa liver pata kahawa kidogo [emoji23]
Eeeh kundini sijatoka yego,The Happiness, bado upo kundini? 😅
Mabingwa wetu bana wamechapika balaa😂😂😂😂 kama namuona kesho, atakavyokuja kutuwekea majoka 🏃♀️🏃♀️
Ubingwa wenyewe wa mauzauza tupu ligi imekatwa katwa vipande. Basi wenyewe makelele tupu kumbe wanachapika tu kirahisi. Shwaini zao na makelele yao. Karibia wiki hatujalala eti wanasherehekea ubingwa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]M
Mabingwa wetu bana wamechapika balaa
Hawa Mabingwa walibebwa😬😬😬M
Mabingwa wetu bana wamechapika balaa
Safi sana.Eeeh kundini sijatoka yego,
Uligoma kuja Aseno kwenye pairs za twins?Eeeh kundini sijatoka yego,
Hahahahha tatizo juzi walilewa sana wakisherehekea ubingwa,pombe bado hazijawatoka vizuriUbingwa wenyewe wa mauzauza tupu ligi imekatwa katwa vipande. Basi wenyewe makelele tupu kumbe wanachapika tu kirahisi. Shwaini zao na makelele yao. Karibia wiki hatujalala eti wanasherehekea ubingwa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1495891