moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wala siwahurumii. Mna makelele dah!Mashabiki wa Liverpool tunalala hivi..[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1495916
Jibu zuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uzilesi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
[emoji23][emoji23]Lekebisha kauli Nani abakwa [emoji16]
Ubingwa wenyewe wa mauzauza tupu ligi imekatwa katwa vipande. Basi wenyewe makelele tupu kumbe wanachapika tu kirahisi. Shwaini zao na makelele yao. Karibia wiki hatujalala eti wanasherehekea ubingwa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1495891
[emoji23][emoji23][emoji23]Wa majoka ni mzee wa liver. Naona alirithishwa mikoba na malkia wake the one and only one ISIS mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu japo sasa nimehamia Dubai...
Moud yeye ni madini na utalii na kujifanya mkulima wa kila aina ya mazao [emoji51][emoji51][emoji15]
View attachment 1495914
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona kesho, atakavyokuja kutuwekea majoka [emoji2088][emoji2088]
Utopolo tu hamna kitu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ugulia maumivu ya kipigo kitakatifu kamanda. Mungu Atulinde [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usiku mwema