regi mp
Member
- Jun 17, 2020
- 51
- 82
mungu mwemaTumshukuru Mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa kutujalia kuiona siku hii ya leo
mungu mwemaTumshukuru Mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa kutujalia kuiona siku hii ya leo
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hako kamsemo kananibamba......kasimba kako sasaWa majoka ni mzee wa liver. Naona alirithishwa mikoba na malkia wake the one and only one ISIS mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu japo sasa nimehamia Dubai...
Moud yeye ni madini na utalii na kujifanya mkulima wa kila aina ya mazao [emoji51][emoji51][emoji15]
View attachment 1495914
Na kwako piaAsubuhi njema
Amun RaMungu atupe siku njema
Hahahaha watu wana manenoVichambo kama kawaView attachment 1495993
Networking...with the right people. Muhimu sana hii maishani....It is nice to have friends who mention you in a room full of opportunities and it is important to be a friend who mention your friends in a room full of opportunities!
Gravity.......