Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dae; kwa nini haya majimbo yamefutwa?
View attachment 1496268
lengo kuu ni kuweka balance ya kura kwa chama pendwa...
kwa mfano :
jimbo la mwanakwerekwe (nilipokulia) kiuhalisia limegawanyika kimatabaka
  1. wakaaazi wengi sana wa shehia ya meli nne ni wafuasi wa CCM na ni wazaliwa wa Unguja hususani kusini (makunduchi, jambiani, kizimkazi n.k)
  2. wakaazi wa Ijitmai ni mchanganyiko (wapemba na waunguja)
  3. wakaazi wa shehia ya kwerekwe C ni mchanganyiko wa kuzidiana (maybe waunguja ni wengi kuliko wapemba)
  4. jaalia kuna shehia nyengine ina kundi kubwa la wapinzani
ili nitengeneze balance itanilazimu kati ya kundi number 2 au number 3 nilihamishe na kulipeleka sehemu yenye sifa na kundi namba 1.

======mfano mwengine
shehia ya mtopepo ina wakaazi wengi waliozaliwa pemba, mgawanyiko mpya wameamua kupelekwa jimbo la mwera lenye wafuasi wengi wa CCM
==========
 
Oooh!

Kumbe ni mbinu za kujipatia ushindi. Republicans wa Marekani pia wana utaratibu kama huo. Wakiona jimbo lina democrats wengi basi wanachezea ramani na kuhamisha mipaka ikibidi kuligawa katikati ili limezwe na majimbo jirani yenye republicans wengi. Hawa democrats wanajikuta nusu wako huku na wengine kule wamemezwa na republicans uchaguzi ukija kura zao zinakuwa hazitoshi na republicans wanaibuka videdea. Wenyewe wanaita gerrymandering....

Siasa...mchezo wa kuzidiana akili...na kuchezeana rafu...



 
Gwajima kujiunga na Ccm ni namna ya kunusuru miladi yake na pesa zake
Ccm na vyombo vya serikali hawaoni shida kukuvunjia hata kanisa
Gwajima yupo sahihi kujiunga Ccm maana dhambi huitwa Baraka,
Gwajima baba hongera najua saizi hata ukichukua kimada na kwenda nae blue pearl hotel hakutakuwq na camera za bashite,
Narudia tens kusema ukiwa na pesa ukajiunga na Ccm hakuna Wa kukugusa hata kama ulipi kodi.
Kila alieko Ccm ana maslahi binafsi
 
Kama ni utajiri wa mtu mmoja mmoja siyo kweli.
Watu hawajapandishwa mishahara kwa miaka zaidi ya 4, mzunguko wa pesa mtaani ni mdogo, biashara zinaanguka, serikali inajali pesa zinazoingia kwenye mfuko wake, haiangalii maisha ya watu wake, serikali imejenga hospitali nyingi lakini inaendesha huduma za afya kibiashara.

Sijajua wanaongelea utajiri wa aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…