Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijawahi kuwaza hilo kbs ktk maisha yangu, mm na mme wangu tutashindwana kwa mengine ila sio hilo.
Na kwanza huwa sina ht time ya kumfatilia, ninachojali ni upendo wake kwangu na kwa familia. Hayo mengine yanabaki kuwa yake sasa na akili zake
You dump your man for cheating only to be with a man that was dumped for cheating. [emoji57]
Uko na akili kweli??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kuwaza hilo kbs ktk maisha yangu, mm na mme wangu tutashindwana kwa mengine ila sio hilo.
Na kwanza huwa sina ht time ya kumfatilia, ninachojali ni upendo wake kwangu na kwa familia. Hayo mengine yanabaki kuwa yake sasa na akili zake
Ndoa yako itadumu sana bageshi...

Kuna wanawake 24/7 anataka ajue uko wapi utafikiri uko jela. Bagosha !!!
 
Kama ni utajiri wa mtu mmoja mmoja siyo kweli.
Watu hawajapandishwa mishahara kwa miaka zaidi ya 4, mzunguko wa pesa mtaani ni mdogo, biashara zinaanguka, serikali inajali pesa zinazoingia kwenye mfuko wake, haiangalii maisha ya watu wake, serikali imejenga hospitali nyingi lakini inaendesha huduma za afya kibiashara.

Sijajua wanaongelea utajiri wa aina gani
Kuna mengi sana yanahitaji kurekebishwa. Maendeleo ya vitu ni muhimu ila watu hawawezi kula flyovers na ndege.

Shida ya viongozi wetu hawa sijui hawana washauri au pengine hawashauriki. Unaona kabisa kiongozi anaweza kuwa legend na kuacha mabadiliko ya kudumu kwa watu wake lakini anashindwa kutekeleza. Kama huyu sasa anatakiwa kurekebisha sheria za kodi na kuwapa unafuu wafanyabiashara wadogo; kuchochea kilimo na kuhakikisha maisha ya mtu wa kawaida yanapanda. Vinginevyo maendeleo haya yatabakia kuwa ya watu wachache tu...
 
Gwajima kujiunga na Ccm ni namna ya kunusuru miladi yake na pesa zake
Ccm na vyombo vya serikali hawaoni shida kukuvunjia hata kanisa
Gwajima yupo sahihi kujiunga Ccm maana dhambi huitwa Baraka,
Gwajima baba hongera najua saizi hata ukichukua kimada na kwenda nae blue pearl hotel hakutakuwq na camera za bashite,
Narudia tens kusema ukiwa na pesa ukajiunga na Ccm hakuna Wa kukugusa hata kama ulipi kodi.
Kila alieko Ccm ana maslahi binafsi
Sentensi ya mwisho isomeke....

"Kila aliyeko kwenye siasa ana maslahi binafsi haijalishi ni wa chama gani" [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
20200703_122052.jpg
 
Back
Top Bottom