Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1593751352003.jpg
 
Oooh!

Kumbe ni mbinu za kujipatia ushindi. Republicans wa Marekani pia wana utaratibu kama huo. Wakiona jimbo lina democrats wengi basi wanachezea ramani na kuhamisha mipaka ikibidi kuligawa katikati ili limezwe na majimbo jirani yenye republicans wengi. Hawa democrats wanajikuta nusu wako huku na wengine kule wamemezwa na republicans uchaguzi ukija kura zao zinakuwa hazitoshi na republicans wanaibuka videdea. Wenyewe wanaita gerrymandering....

Siasa...mchezo wa kuzidiana akili...na kuchezeana rafu...
siasa ya zanzibar na majimbo yake ni rahisi sana kutengeneza mgawanyo ijapokuwa mara nyingi sana mbinu hiyo imekuwa ikiwapa matokeo hasi zaidi upande wa CCM
kuna majimbo chama tawala wanatamani kuyachukua
  1. stone town (mji mkongwe): hili jimbo lishagawanywa mara nyingi sana lakini ccm wanaendelea kushindwa....kwa sasa linaitwa jimbo la Malindi
  2. Nungwi: si kila muunguja ni mwana ccm, wazee wa kaskazini huna la kuwaambia juu ya upinzani....nalo mwaka huu nahisi limeingia kwenye mkumbo wa kufanyiwa mabadiliko
  3. chukwani: ccm hawaelewi uchaguzi ule walishindwaje kwenye jimbo lile haliyakuwa wana kura ya veto (wazanzibar wenye asili ya tanganyika), si ajabu limeingia katika kundi la majimbo yaliofanyiwa mabadiliko ya mipaka (chukwani, mbweni, kiembe samaki wananchi wengi wanaoishi huko ni mchanganyiko wa watanganyika, waunguja na wapemba), unajua asilimia kubwa sana ya ndugu zetu kutoka Tanzania bara hawana imani na siasa ya upinzani ya zanzibar (khofu yao ni kunyanyaswa kama ccm wataondoka madarakani), naamini uwepo wa ukawa uchaguzi uliopita ulirudisha imani kwa watu wenye asili ya bara kumpigia kura maalim seif.......jimbo la chukwani na jimbo la kiembesamaki yote yana uwezo wa kufanywa jimbo moja lakini ndio hivyo.....jimbo la chukwani alishinda mansuri yussuf himid kabla ya uchaguzi kufutwa
  4. mwanakwerekwe: hili jimbo washindi walikuwa ni ccm kila uchaguzi kasoro huu uliopita, hili jimbo lina mchanganyiko mkubwa sana wa jamii pinzani (unguja na pemba).....unakuta shehia fulani imejaa waunguja na shehia fulani imejaa wapemba......kibaya zaidi kwa sasa hizi shehia zenye wapemba wapiga kura wanaongezeka kwa kasi (usiniulize kwa nini) ukilinganisha na hao wengine....ndio maana kwa sasa jimbo limekuwa gumu kwa ccm.
 
Asante kwa ufafanuzi wa kina. Sasa nina mwanga. Kulikuwa na mjadala huu jukwaa fulani huko WhatsApp. Ngoja niende wakale za uso. Asante sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom