Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Christopher Wallace alikuwa anasakwa na Polisi, Siku yupo nyumbani alipost picha kwenye Snapchat kuwa yupo hapo na Polisi kuona hilo walifika eneo hilo kwaajili ya kumkamata. Walimtafuta kila kona ya nyumba yake walimkosa mpaka Picha nyingine ya Snapchat ambayo alipost Christopher akitoa taarifa kuwa kajificha kwenye kabati, Polisi walipoenda kwenye Kabati hilo walimkuta jamaa katulia zake. Tukio lilitokea mwaka 2015.
Christopher Wallace naye hovyooo [emoji16][emoji16][emoji16]

Siku hizi hata usipoposti. Kama una simu tu basi wana-snooze na wanaweza kuja mpaka hapo ulipo bila wasiwasi...
 
Mbunge wa zamani wa Chunya Njelu Mulugala Kasaka amefariki Dunia View attachment 1496616
Dah !!!

Huyu mwamba bunge la 1985/1990? wakidai serikali ya Tanganyika.....

Ilikuwa spika Pius Msekwa akitamka tu " Mh. Njelu Kasaka swali la nyongeza" ilikuwa ni burudani tosha.

Apumzike kwa amani....
 
Kuna msemo kwamba "if one ride is broken at Disney, they don't close down the whole park"

If you know you know...[emoji115][emoji115][emoji115]


Halafu huyu sijui Mkerewe. Si kwa ufundi huu wa ulaji wa samaki [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro, you go the other way around; right? Bad Boy. 😅😅
 
Si ndiyo mnataka warembo wa hivi? Mtuwache na mabonge yetu kha!!!

iam_misstriplestackz_20200621_200142.jpg
 
Ain't sayin' nothin' [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwako huko vipi? Kumechemka upya au grafu inasoma kuelekea chini? Huku tunavunja rekodi kila siku ...

View attachment 1496686
😅 😅 😅 ... Mambo yanazidi kuchemka, nina mpango wa kuhamia Alaska sasa; nadhani ndio moja kati ya States zilizobaki zenye unafuu.
 
Back
Top Bottom