Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Christopher Wallace naye hovyooo [emoji16][emoji16][emoji16]Christopher Wallace alikuwa anasakwa na Polisi, Siku yupo nyumbani alipost picha kwenye Snapchat kuwa yupo hapo na Polisi kuona hilo walifika eneo hilo kwaajili ya kumkamata. Walimtafuta kila kona ya nyumba yake walimkosa mpaka Picha nyingine ya Snapchat ambayo alipost Christopher akitoa taarifa kuwa kajificha kwenye kabati, Polisi walipoenda kwenye Kabati hilo walimkuta jamaa katulia zake. Tukio lilitokea mwaka 2015.
Kifo hakibakishi mtu....Profesa Tolly Mbwete amefariki Dunia View attachment 1496635
Ajitose kwenye comedy - hata kama ni kwa ajili ya hobby tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah !!!Mbunge wa zamani wa Chunya Njelu Mulugala Kasaka amefariki Dunia View attachment 1496616
Mwanamke wa hivi nikipona hata awe Afghanistan nitakwenda kumsalimia...."Mke wangu amenimwagia maji ya moto kwa kuwa amenifumania namnyonya kitovu mwanamke mwingine.
Naomba mniombee"View attachment 1496605
Bro, you go the other way around; right? Bad Boy. π πKuna msemo kwamba "if one ride is broken at Disney, they don't close down the whole park"
If you know you know...[emoji115][emoji115][emoji115]
Halafu huyu sijui Mkerewe. Si kwa ufundi huu wa ulaji wa samaki [emoji16][emoji16][emoji16]
Si ndiyo mnataka warembo wa hivi? Mtuwache na mabonge yetu kha!!!
Ain't sayin' nothin' [emoji16][emoji16][emoji16]Bro, you go the other way around; right? Bad Boy. [emoji28][emoji28]
Hawa jamaa hawa...Utatu tata....
View attachment 1496537
π π π ... Mambo yanazidi kuchemka, nina mpango wa kuhamia Alaska sasa; nadhani ndio moja kati ya States zilizobaki zenye unafuu.Ain't sayin' nothin' [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwako huko vipi? Kumechemka upya au grafu inasoma kuelekea chini? Huku tunavunja rekodi kila siku ...
View attachment 1496686
Baridi litakukimbiza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28] [emoji28] [emoji28] ... Mambo yanazidi kuchemka, nina mpango wa kuhamia Alaska sasa; nadhani ndio moja kati ya States zilizobaki zenye unafuu.