Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndio
Nlkuwa sifaham hiiVilevile hakikisha unaondoa kava la simu yako ambalo limebana sana simu yako pale unapochaji simu yako kwani hii huweza kusababisha joto kwenye simu yako, kitu ambacho ni adui wa kwanza wa battery ya simu yako
RipMbunge wa zamani wa Chunya Njelu Mulugala Kasaka amefariki Dunia View attachment 1496616
HahahahaChristopher Wallace alikuwa anasakwa na Polisi, Siku yupo nyumbani alipost picha kwenye Snapchat kuwa yupo hapo na Polisi kuona hilo walifika eneo hilo kwaajili ya kumkamata. Walimtafuta kila kona ya nyumba yake walimkosa mpaka Picha nyingine ya Snapchat ambayo alipost Christopher akitoa taarifa kuwa kajificha kwenye kabati, Polisi walipoenda kwenye Kabati hilo walimkuta jamaa katulia zake. Tukio lilitokea mwaka 2015.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna msemo kwamba "if one ride is broken at Disney, they don't close down the whole park"
If you know you know...[emoji115][emoji115][emoji115]
Halafu huyu sijui Mkerewe. Si kwa ufundi huu wa ulaji wa samaki [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiongozi wa G55 yeye na Philip MarmoDah !!!
Huyu mwamba bunge la 1985/1990? wakidai serikali ya Tanganyika.....
Ilikuwa spika Pius Msekwa akitamka tu " Mh. Njelu Kasaka swali la nyongeza" ilikuwa ni burudani tosha.
Apumzike kwa amani....
Hii corona bado kwa KweliAin't sayin' nothin' [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwako huko vipi? Kumechemka upya au grafu inasoma kuelekea chini? Huku tunavunja rekodi kila siku ...
View attachment 1496686
HahahahahaMwongozo mpya wa kiwango cha mahari kulingana na chama cha mabaharia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1496703